Friday 13 April 2018

BEYONCE KUFANYA MAKUBWA NDANI YA COACHELLA.



Diva wa RnB kutoka nchini Marekani, Beyonce ameripotiwa kufanya usajili wa wacheza show 100 kwa ajili ya Tamasha la Coachella leo Jumamosi.

Wadau mbalimbali kutoka Marekani wamedai kuwa Beyonce anaweza kuwa anataka kufanya makubwa katika Tamasha hilo la mwaka huu kutokana mwaka jana alikuwa mjamzito na hakuweza kufanya vyema.

Coachella ni Tamasha kubwa linalofanyika kila mwaka na huwashirikisha wasanii pande zote Duniani.

0 comments:

Post a Comment