Friday 27 April 2018

Uwanja wa Wembley kupigwa mnada



Shirikisho la Soka, FA limepokea ofa ya dau la paundi milioni 800 ili kuuza uwanja Wembley ambao ni mkubwa kuliko yote nchini humo

Dau hilo limetolewa na Mmiliki wa klabu ya na Fulham na timu ya Jacksonville Jaguars, Shahid Khan

Suala hii inadaiwa kuongelewa katika kikao cha FA kilichofanyika jana, Aprili 25, 2018

Uwanja huo wenye uwezo wa kubeba mashabiki 90,000 ulijengwa mwaka 2007 na uligharimu kiasi cha paundi milioni 757

0 comments:

Post a Comment