Rapper na Mjasiliamali mkubwa kutoka Marekani, Sean John Combs aka Diddy ametangaza kudondoka Afrika Mashariki ikiwa ni moja ya sehemu ya ziara yake ya Afrika.
Kwenye video fupi iliyowekwa na mwanamitindo Naomi Campbell, Diddy anasema kuwa anakuja Africa na kati ya nchi alizozitaja ni pamoja na Nigeria, Kenya, Ivory Coast na Senegal.
Naomi Campbell pia alikuja Afrika wiki iliyopita kwa ajili ya uzinduzi wa jarida la Vogue Africa Edition.
0 comments:
Post a Comment