Thursday 24 May 2018

Ndege yaua watu sita Honduras


Watu sita wamejeruhiwa baada ya Ndege waliyokuwa wakisafiria kuangua na kupasuka vipande viwili katika nchi ya Honduras

Mpaka sasa haijafahamika ni abiria wangapi walikuwa ndani ya ndege hiyo ya Gulfstream G200

Mapema mwaka huu ndege ya shirika la TACA ilianguka eneo hilo hilo ambapo watu watano walifariki dunia

Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka Mji wa Austin, Texas nchini Marekani

0 comments:

Post a Comment