Tuesday 19 June 2018

Rapa XXXtentacion afariki Dunia



Rapa XXXTENTACION afariki dunia usiku wa kuamkia wa leo.

Alivamiwa mapema leo na jamaa aliyemshambulia kwa risasi zilizopelekea kifo chake (Soma post Taarifa zinasema bado mtuhumiwa hajakamatwa/ hajajulikana lakini polisi wanaendelea na uchunguzi, #Xxxtenatacion alikuwa na umri wa miaka 20

0 comments:

Post a Comment