Kutoka Nigeria, Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Black Face ametangaza kumshtaki 2Face kwa kuiba ngoma yake ya 'African Queen' iliyotolewa mwaka 2004
Blackface kwa muda mrefu amekuwa akimshutumu mwanamuziki mwenzake kwa kumuibia ngoma yake toka kipindi wako katika bendi moja jijini Lagos, hatahibyo siyo wimbo wa kwanza kwa 2face kuambiwa ameiba adi alipotoa ngoma yake ya “Let Somebody Love You.” Mei 2017 Jambo ambalo 2fae amekuwa akilikataa na kutishia kumshtaki Blackface kwa kupenda kumtangazia kwa watu kuwa ameiba .
Blackface kwenye Instagram yake alishiriki picha iliyobeba ujumbe wa kumtaka 2face kufika mahakamani.
0 comments:
Post a Comment