Saturday 7 April 2018

Despacito yaweka historia nyingine Youtube


 ‘Despacito’ bado inaendelea kuvunja rekodi, Imefikisha idadi ya watazamaji Billion 5 kwenye mtandao wa YouTube.

Video hiyo iliyoongozwa na Carlos Perez imekuwa video iliyotazamwa na watu wengi zaidi kwenye historia ya mtandao wa YouTube.

 

Video hiyo ya Luis Fonsi, mwanamuziki wa Puerto rico iliwekwa kwenye mtandao wa YouTube tarehe 12 January 2017 na hadi sasa imetazamaa zaidi ya mara Billion 5, Imepata comment zaidi ya Million 2 na Likes zaidi ya Million 26.

0 comments:

Post a Comment