Sunday 8 April 2018

Rais Magufuli audhuria usimikwaji wa Askofu Amani Arusha



Rais Magufuli na Mkewe wahudhuria misa ya kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha

Misa ya kumsimika Askofu Isaac Amani imefanyika katika viwanja vya Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto Yesu.

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema(CHADEMA) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha ni miongoni mwa wahudhuriaji wa tukio hilo

0 comments:

Post a Comment